Kitu kimoja ningeweza kukumbuka kutoka kwa huyu MJ ni vile Safaricom iliingilia biashara aina zote za technologia ya mawasiliano nchini Kenya kuanzia kuuza computer, kusajili tovuti, na biashara zingine ndogo ndogo zilizokua zinafanywa na wanabiashara wachanga ili kujiinua maishani. Mfumo huu wa kazi uliweza kuangamiza biashara nyingi za watu wanaojikaza kujikimu kimaisha. Ingefaa kama Safaricom ingeshindana na makampuni makubwa ya duniani kama vile IBM ama Google kwenye biashara zake badala ya kushindana na Wakenya. On a positive note, I love the SWOT team of Safaricom, they would come up with new products, services, and tarrifs to reinvent themselves whenever need arises. I have a feeling that Safaricom's affiliation to the parent company Vodafone gave it undue mileage in forms of innovation, technical support, products duplication, and knowledge transfer. All the same, MJ was God sent for Safaricom Regards Mwendwa Kivuva -- ______________________ twitter.com/lordmwesh transworldAfrica.com <http://transworldafrica.com/> | Fluent in computing kenya.or.ke | The Kenya we know