
Grace Mutung'u, Yafaa tujaribu kutafsiri hizi kanuni. Hapa nipo na wa Korea wa Kusini na nimewaulisha wafanyalo wakiwa na maelezo kwa lugha ya kiingereza. Waniambia ati vyo vikubwa vyao vina lazimika katafsiri kila maandishi kutoka lugha zote. Majina kama internet yakiwa mapya, wanaitafutia jina lao. Ni lazima tuanze kupatiana huduma kama hiyo kwa lugha zetu zote hasa kwa Kiswahili. Sidhani Bi Grace Mutang'u ameandika jina lake vizuri. Sabau alama ya n'gu kwa kiafrika yapata kuandikwa vile nimeiandika na si ng'u. Labda Mwalimu Prof. Kimani atuelezee. Ndemo. Sent from my BlackBerry® -----Original Message----- From: "Grace Mutung'u (Bomu)" <[email protected]> Sender: [email protected] Date: Tue, 5 Jul 2011 16:20:34 To: <[email protected]> Cc: KICTAnet ICT Policy Discussions<[email protected]> Subject: [kictanet] Internet Rights and Principles in Swahili! _______________________________________________ kictanet mailing list [email protected] http://lists.kictanet.or.ke/mailman/listinfo/kictanet Unsubscribe or change your options at http://lists.kictanet.or.ke/mailman/options/kictanet/bitange%40jambo.co.ke The Kenya ICT Action Network (KICTANet) is a multi-stakeholder platform for people and institutions interested and involved in ICT policy and regulation. The network aims to act as a catalyst for reform in the ICT sector in support of the national aim of ICT enabled growth and development. KICTANetiquette : Adhere to the same standards of acceptable behaviors online that you follow in real life: respect people's times and bandwidth, share knowledge, don't flame or abuse or personalize, respect privacy, do not spam, do not market your wares or qualifications.